Nataka kukopa trekta kwa kilimo na kazi ndogo

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
1,127
734
Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.

Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.

Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.

Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
 
Mkuu hiyo aina gani ya trekta na unachukulia wapi?, nami ni ishu ambayo inanisumpua kichwa changu sana, lakini watu wananitisha kwamba trekta litakupa hasara tu.
 
Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.

Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.

Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.

Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
Unakopa wapi huko mkuu?
 
U atakiwa kwenye andiko la mradi wako uongeze ardhi ifike ekari 100 na pia uainishe ain ya mazao utakayolima. Pia uongeze na ubebaji wa mazao pamoja na mizigo kwa kipindi cha kiangazi, malipo ya operator na maintainance n.k
 
Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.

Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.

Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.

Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
Business plan yako tafadhdlii
 
ushauri wangu kwako na kwenu wote mnaotaka kununua au kukopa tractor based on my experience, msichukue trekta kwa minajili ya kukodisha au kufanyia kaz za watu haijakaa vzr utalichosha mapema na inaweza isikulipe zaid ya kukupa unnecessary stress. Sbb wakulima wengi wanamiliki mashamba chini ya eka 3. Mara nyingi utajikuta ili ulime eka nyingi lazima utembee na tractor umbali mrefu na muda mwingi utajikuta unalitembeza trekta kwny njia mbovu ambayo nayo yana udongo/ardhi tofauti tofauti ngumu, laini, yenye mawe nk. Lkn pia trekta ni mashine haijatengenezwa kutembea tembea barabarani tena mbovu. Haya yote kwa ujumla wake yanalichosha trekta ila kama unashamba kubwa chukua trekta tumia kwa kazi zako. Na amini with proper management unaweza kukopa ilo trekta kama una 30 acres
 
Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.

Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.

Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.

Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
Na miye napata wapi huu mkopo?
 
Trekta ipi hiyo unayotaka kukopa wewe?
 
Utafilisika unless uwe unatumia kwa kazi zako binafsi za shamba ili kuongeza productivity yako. Na hivi utakuwa mbali ndiyo kabisa, wabongo hawaogopi mambo za GPS etc.
 
Back
Top Bottom