Nataka binti wa miaka 20-24 ambaye bado bikra asiyepaka wanja, lipstik, wala hina!

Hv Lulu si anayo BK,ebu rusha ndoano pale kabla Justin bieber ajapelekewa tunda US
 
Ungeenda china dogo, kule wamejazana lazima utapata tu.
 
uliowatoa bikira unataka nani awaoe?Mungu atakupa wa kufanana na wewe.....kama wewe bikra utapata bikra ila kama wewe ni chovya chovya utapata chovya chovya mwenzako...
Wacha wee hivi ni kweli mbona wahuni ndo wanao pata ma bikra siku zote.
 
We bikra unayotaka unayo au ni better than thou kama kawaida? Ndoa si bikra au vinginevyo bali utayari na kujua mtu anachopaswa kufanya. Bikra siyo big deal kwenye karne ya 21. Suppose ukimpata naye akata uwe na ghorofa au mabilioni benki. Kuna haja ya kuangalia mambo yalivyo badala ya kuota mchana. Mwisho ukitaka wenye bikra jua wana umri usioruhusu kuolewa otherwise uwe pedophile wa kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom