Natafuta

Well punguza ubinafsi; umeweka masharti kibao na that's a bit irritating; walau watie moyo kwa kusema uko tayari kucompromise.
 
ahahahahaaaa...i wish ningeijua jamii forum kabla sijampata my wife...maana naona jamaa ametoa tangazo la kazi anasubiria applications..wakati sie wa ENZI ZA MWALIMU...mpaka wazazi wakutafutie na wewe utafute mkikutana muwaweke chini muanze debate mpaka wakwako apite ndio uambiwe sasa OA....

hii ya dr. im ekaa vizuri maana hata haitaji kuwanyatia mademu wala hata kuomba namba aishie kupigwa vibuti..kusimamishwa vichochoroni na kugombea mademu wa washkaji mpaka kieleweke then awe mchumba apite vikwazo vya wazazi ndio awe wife....booooonge la shortcut hilo.....

BIG UP MZEE WA PhD....rudi lab mzee kamua mi-biochemistry yako ...jioni check private massage zako jf..kisha repply chache next week mtumie mtu airticket aingie kitu ya US embassy akasumbuliwe viza....MAISHA RAHISI SANAAAAA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom