Masoko ni mengi inategemea na unatolea mzigo wapi. Najua tarakea, himo, kibaigwa, dar(manzese, tmk), nilichokuwa nafanya ni kuuliza bei sehem kadhaa kabla sijaamua pakupeleka.Habari za jioni wanajf natumaini mko poa
Naomba msaada wa kufaham soko Zuri la mahindi ndani na nje ya Tanzania lakn pia naomba kufaham namna ya kupata kibali cha biashara hii ya kusafirisha mahindi
binafsi mzigo nategemea kuwa nachukua Mbozi Songwe... mpaka sasa ninachojua ni kwamba, kwa hapa nilipo, wengi huwa wanapeleka iringa, Dodoma na nje( kenya na rwanda)...Masoko ni mengi inategemea na unatolea mzigo wapi. Najua tarakea, himo, kibaigwa, dar(manzese, tmk), nilichokuwa nafanya ni kuuliza bei sehem kadhaa kabla sijaamua pakupeleka.
Dodoma nimeuza mjini pale Majengo sokoni kuna ofisi wananunua tu chap, Kibaigwa bei itakuwa chini kulinganisha na dom mjini. Wengi wanaposema Kenya wanamaanisha Tarakea au Himo mpakani kuna masoko ya mahindi, wakenya wananunulia hapo sokoni wanafaulisha mizigo kwenye gari zao ndo wanavuka. Nicheck pm nikupe namba kadhaa nilizonazobinafsi mzigo nategemea kuwa nachukua Mbozi Songwe... mpaka sasa ninachojua ni kwamba, kwa hapa nilipo, wengi huwa wanapeleka iringa, Dodoma na nje( kenya na rwanda)...
unaweza kunisaidia taarifa zaidi kwa uzoefu ulionao... na ukinibarikia namba za simu za wanunuzi waliopo masokoni unaojuana nao, utakua umenisaidia sana
Dodoma gunia sh ngapi?Dodoma nimeuza mjini pale Majengo sokoni kuna ofisi wananunua tu chap, Kibaigwa bei itakuwa chini kulinganisha na dom mjini. Wengi wanaposema Kenya wanamaanisha Tarakea au Himo mpakani kuna masoko ya mahindi, wakenya wananunulia hapo sokoni wanafaulisha mizigo kwenye gari zao ndo wanavuka. Nicheck pm nikupe namba kadhaa nilizonazo
Nami naomba # yako ili niweze kukuuliza baadhi ya maswali yanguDodoma nimeuza mjini pale Majengo sokoni kuna ofisi wananunua tu chap, Kibaigwa bei itakuwa chini kulinganisha na dom mjini. Wengi wanaposema Kenya wanamaanisha Tarakea au Himo mpakani kuna masoko ya mahindi, wakenya wananunulia hapo sokoni wanafaulisha mizigo kwenye gari zao ndo wanavuka. Nicheck pm nikupe namba kadhaa nilizonazo
Vipi soko ushapata au bado!??...njoo tufanye biashara.Habari za jioni wanajf natumaini mko poa
Naomba msaada wa kufaham soko Zuri la mahindi ndani na nje ya Tanzania lakn pia naomba kufaham namna ya kupata kibali cha biashara hii ya kusafirisha mahindi
wew uko wapi mkuu!Vipi soko ushapata au bado!??...njoo tufanye biashara.