Natafuta soko la kuuza unga wa sembe na dona

Vicin

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
676
295
Habari wadau.

Nina mpango wa kufungua mashine ya kukoboa na kusaga mahindi. Niweke kwenye package kisha nisafirishe mikoani kwa wateja wa jumla.

Mashine, packages, mahindi, na mengine yanayohitajika ninayo, ila napata changamoto kwenye suala la uhakika wa soko.

Naomba kama kuna mwenye ufahamu wa soko, au yeye ni muhitaji wa bidhaa hii ya unga anijuze, au anisaidie mawazo.

Nathamini na ninategemea sana mawazo yenu wadau.

Natanguliza shukrani zangu.🙏🙏
 
Upo mkoa gani mkuu.

Kwa sasa mimi nipo Lindi huku kibiashara ila nilichigundua huku vyakula hasa unga n bidhaa hitajika sana maana hawalimi tafuta mtu wa pande hizo akuunganishe na wenye maduka hata haya ya rejareja.
 
Upo mkoa gani mkuu.

Kwa sasa mimi nipo Lindi huku kibiashara ila nilichigundua huku vyakula hasa unga n bidhaa hitajika sana maana hawalimi tafuta mtu WA pande hzo akuunganishe na wenye maduka hata haya ya rejareja
Nashukuru sana mkuu. Mi nipo Manyara, ila nahitaji niwe nasafirisha mikoani.
 
Huna shamba wala jembe na unawaza kulima shamba kibwawa HILO

TUNAITA SHAMBA LA MFUKONI

NAKUSHAURI NJOO TUKUTENGENEZEE MASHINE KWANZA NA USHAURI WOTE SOKO NI NAMBA MBILI
MAANA KUNA KUTAFUTA MAHINDI YA UHAKIKA N. K

PATA MASHINE KWANZA VINGINE VIFUATE TUNAPATIKANA UBUNGO EXTERNAL 0762612213
 
Back
Top Bottom