Plot4Rent Natafuta Shamba la ekari 20 kukodi na kufanya kilimo cha Ufuta

juniour12

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
407
375
Habari zenu wanajamvi,Natafuta shamba la kukodi la eka 20 kwa ajili ya kilimo cha ufuta kwa msimu unao anza yaani mwezi wa 11,12,1 au 2 kulingana na majira husika.

Mimi napatikana Dar nipo tayari kwenda eneo linalo kubali vema kilimo cha ufuta especially Lindi na maeneo mengine jirani na Dar.Nipo tayari kufyeka kama ni pori na kushirikiana na mwenye shamba kulima kwa makubaliano maalumu.

Nahitaji ushauri wenu juu ya maeneo na kilimo hichi na misimu yake kulingana na maeneo husika.

Natanguliza shukrani
 
Nimekutumia mawasiliano ya jamaa mwenye mashamba ya kukodi huko Ruvu.
Angalia kwenye PM.
 
Habari zenu wanajamvi,Natafuta shamba la kukodi la eka 20 kwa ajili ya kilimo cha ufuta kwa msimu unao anza yaani mwezi wa 11,12,1 au 2 kulingana na majira husika.
Mimi napatikana Dar nipo tayari kwenda eneo linalo kubali vema kilimo cha ufuta especially Lindi na maeneo mengine jirani na Dar.Nipo tayari kufyeka kama ni pori na kushirikiana na mwenye shamba kulima kwa makubaliano maalumu.
Nahitaji ushauri wenu juu ya maeneo na kilimo hichi na misimu yake kulingana na maeneo husika.
Natanguliza shukrani

nipe nambako au ingia inbox yako nimekupa namba tuwasiliane
 
mkuu kama bado hujapata, kuna ekari 29 pale milola - Ulanga.

ni umbali mfupi tu toka kivuko cha mto Kilombero (panapojengwa daraja) panapotenganisha wilaya za Ifakara na Ulanga.
 
Nipo kibiti-rufiji umbali wa masaa 2 toka mbagala kwa daladala... Kama vp njoo ulime free kwangu... PM kama utakuwa interested
 
Habari zenu wanajamvi,Natafuta shamba la kukodi la eka 20 kwa ajili ya kilimo cha ufuta kwa msimu unao anza yaani mwezi wa 11,12,1 au 2 kulingana na majira husika.

Mimi napatikana Dar nipo tayari kwenda eneo linalo kubali vema kilimo cha ufuta especially Lindi na maeneo mengine jirani na Dar.Nipo tayari kufyeka kama ni pori na kushirikiana na mwenye shamba kulima kwa makubaliano maalumu.

Nahitaji ushauri wenu juu ya maeneo na kilimo hichi na misimu yake kulingana na maeneo husika.

Natanguliza shukrani

Kuna heka 30 zipo Kijiji cha Mavuji iko Lindi, 30km from Nangulukulu Round About ya Kilwa.

Kwa kua ni Pori la kufyeka basi we kafyeke ulime huo ufuta kwa Tshs 15,000/- kwa heka, seriously!!
 
mimi nataka shamba la kununua AliKStunna liko Dodoma sehemu gani kuwa specific bwana
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wanajamvi,Natafuta shamba la kukodi la eka 20 kwa ajili ya kilimo cha ufuta kwa msimu unao anza yaani mwezi wa 11,12,1 au 2 kulingana na majira husika.

Mimi napatikana Dar nipo tayari kwenda eneo linalo kubali vema kilimo cha ufuta especially Lindi na maeneo mengine jirani na Dar.Nipo tayari kufyeka kama ni pori na kushirikiana na mwenye shamba kulima kwa makubaliano maalumu.

Nahitaji ushauri wenu juu ya maeneo na kilimo hichi na misimu yake kulingana na maeneo husika.

Natanguliza shukrani

Nina ekari 300, zipo mikese morogoro. Tutafutane. Napatikana 0767102102.
 
Hi,
Kwa wenye kuhtaji mashamba yakilimo cha ufuta kampuni inauza na kukodisha kwa garama nafuu sana yanapatkana bungu (mkuranga)bara bara ya rufiji.0757783401
 
Kampuni ya VKP Investment wauzaji wakodishaji na wakopeshaji wa mashamba.yanapatkana Bungu (mkuranga)bara bara ya rufiji kwa sh 400,000 kwa eka na fukayosi Bagamoyo sh 800,000 kwa eka.karibuni
0757793401
 
Habari zenu wanajamvi,Natafuta shamba la kukodi la eka 20 kwa ajili ya kilimo cha ufuta kwa msimu unao anza yaani mwezi wa 11,12,1 au 2 kulingana na majira husika.

Mimi napatikana Dar nipo tayari kwenda eneo linalo kubali vema kilimo cha ufuta especially Lindi na maeneo mengine jirani na Dar.Nipo tayari kufyeka kama ni pori na kushirikiana na mwenye shamba kulima kwa makubaliano maalumu.

Nahitaji ushauri wenu juu ya maeneo na kilimo hichi na misimu yake kulingana na maeneo husika.

Natanguliza shukrani
Karibu nipo kibiti nyuma ya secondary ya kibiti mahali panaitwa kinyanya, nalima matikikiti na Ufuta, sitakukodisha njoo ulime free.
 
Ninahitaji shamba la kukodi ekari 4 kwa ajili ya kulima vitunguu maeneo ya Singida jimbo la Singida mjini au Singida vijijini, liwe tambarare, no yangu 0765604750
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom