Natafuta room ya kupanga karibu na Tanzania institute of accountancy (Dar)

Nenda mitaa ya kwa azz ali kuna madalali wa kutosha watakusaidia, ila ukifika usiseme ww n mwanafunz kama unataka nyumba nje na hostel.
 
we jinsia gan? unaweza tuma picha?uje ukae nami ila angalau niione sura yako ilivyo na jinsia. wanaume wanaweza kutafuta ila huwa nawaonea huruma sana dada zangu. so kma ni jinsia KE tuma tu picha yako then ntakwambia kma uje kukaa nami au vipi
 
We mwenyewe umejielewa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom