Natafuta Room Mate wakike

emilwayne

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
265
19
Serious natafuta room mate wakike niwe na share chumba moja na mm nipo chuo, plz kama haupo seriou usijishuhulishe na hapa.. Namba yangu ni 0755243224
 
ha ha ha ha ha ha ha ah ah aha ha ha ha h ah, Hii dunia ina mambo jamani sasa unatafuta room mate mwanachuo mwenzako ama mtu yoyote alimradi awe msichana kwa sababu kama ungekuwa unamtafuta mwanachuo ungeweka tangazo lako kwenye chuo unachosoma huko ama siku hizi kuna jamii forum university labda mie sijui, lakini kama unatafuta asiye mwanachuo mwenzako basi jaribu kuelezea vigezo vya msichana unayemtafuta, vinginevyo tangazo lako halijakamilika.sitaki kukuuliza lengo lako kwani wewe mwenyewe ndiye unayejua.
 
Serious natafuta room mate wakike niwe na share chumba moja na mm nipo chuo, plz kama haupo seriou usijishuhulishe na hapa.. Namba yangu ni 0755243224

Hii kitu uliiweka kule jukwaa la matangazo,watu wameponda umeleta tena huku?au we ni lesbian?
 
kukaa nae sio tatizo.....
tatizo ni kutoa taarifa nusu nusu....vyuo vipo vingi sana hapa Tanzania.....aseme ni wapi...

Akikuambia ni chuo gani utauliza maswali mengi sna,hata kule jukwaa la matangazo madogomadogo aliulizwa hakutaja jina, zaidi ya hiyo namba ya simu aliyoweka hapo. Na kwa aliyepitia maisha ya chuo huwezi kukosa mate wa kushare naye room,wapo wengi na wanahangaika sana kwenye vyuo,watu wanabebana hostel kila kukicha. ninachojiuliza mimi ni kweli mpaka aje atafutie hapa jamvini?haijalishi ni chuo gani,but inanipa mashaka.if uko tayari jitoe mhanga dada.
 
Hebu Preta tusaidie kupigia simu then utupe report.
 
he he he uko chuo umekosa mtu?anyway can i use your number for other purposes?kama vile kukutongoza...lol
 
I am lucio by name I find a one who can setup with me so as to share different aspect of life in fact I aim with a one who is ready.
 
Serious natafuta room mate wakike niwe na share chumba moja na mm nipo chuo, plz kama haupo seriou usijishuhulishe na hapa.. Namba yangu ni 0755243224

chuo gani?GLOBAL KOLEJI,PRINCES K0LEJI,GREEN PASTURE K0LEJI,DATA STAR KOLEJI AU?
 
Back
Top Bottom