Natafuta part time job accountant arusha

chuku

Member
Jun 9, 2009
40
0
Wana JF Nependa kuwa shirikisha katika swala langu la PART TIME Aaccoutant napendelea Arusha.
 
Hiyo kazi unayoitaka umeisomea chuo gani na mwaka gani?, na uko tayari mkoa wowote?
 
Wana JF Nependa kuwa shirikisha katika swala langu la PART TIME Aaccoutant napendelea Arusha.


Je wana arusha wakipata anayetaka mhasibu lakini wa full time uko tayari tukujilishe au ni kama ulivyo insist kwamba ni part time?
 
Nashukuru kwa ushirikiano ,hata ikipatikana ya Fulltime me niko tayari kwa hapa Arusha.Naomba tuendelee kushirikiana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom