Natafuta nyumba/chumba double ya kupanga moshi

miettu

Member
Sep 12, 2012
25
0
Natafuta nyumba ya kupanga Moshi, iwe self ya chumba kimoja, au vyumba viwili double, ila pawe na parking ya kupaki gari.

0758-717754
 
Nyumba ya kupanga ipo mailisita barabarani karibu na njia ya kweda mahakamani bei 200/000=kwa mwezi kodi miezi mitatu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom