Natafuta NOAHA ya kununua

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Habari wana JF.

Naomba kama kuna mtu anauza NOAHA iliyo katika hali nzuri wasiliane name.

Asante
 
Kuipata NOAHA, sijui...!!!, Mtambuzi anauza Landrover Freelander, wasiliana nae kama ukiipenda
 
Last edited by a moderator:
New model au old? Kama una 15.5m nitafute kwa +61424679013 ila ni pacha wa noah inaitwa Voxy ina miez 4 toka ninunue kwa namba CEK!
 
Habari wana JF.

Naomba kama kuna mtu anauza NOAHA iliyo katika hali nzuri wasiliane name.

Asante

mkuu km uko niandikie msg kwenye 0657 145555 uniambie budget yako na aina ya noah unayotaka mi ninazo kuanzia number b mpaka c bei zimeanzia 8.5 mpk 15 cm yangu inapatikana usiku nipo dar
 
mkuu km uko niandikie msg kwenye 0657 145555 uniambie budget yako na aina ya noah unayotaka mi ninazo kuanzia number b mpaka c bei zimeanzia 8.5 mpk 15 cm yangu inapatikana usiku nipo dar

Duu simu mpaka usiku tu, kwanini? basi nipigie mimi namba 0685701870 muda wowote
 
Ipo mpya imetembea kilometer 37000 tu! Namba ni CAM, Imefanyiwa service na ina rear camera + navigator! Imenstalliwa alarm system! Tuwasiliane 0714200966

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa budget yako! Njoo uchukue townace! Ipo saf diesel engine! 4WD! Automatic! Yana tyres! Nichek 0714200966

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom