Natafuta Ndama dume wa kisasa

Tougher

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
245
65
Habari zenu ndugu zangu,

Ninahitaji ng'ombe wadogo wa kisasa (chini ya mwaka 1 prefarably) kwa ajili ya kununua. Nipo Dar es Salaam, aliyenao naomba anipatie bei yake na yupo wapi. Kwa wale wa Dar na pwani nitakuja kuwaona hapo walipo, kama upo mbali na Dar naomba weka na Picha utakapowasiliana nami inbox.

Regards

Tougher
 
Ninao dume wa miezi (3)
Asili yake ni Freasian
Bei laki tano kila mmoja wako watano
Nipo Kilimanjaro''
 
Back
Top Bottom