Natafuta nchi yakuhamia

Somalia ipo poa sana, hakuna haja ya kuomba kibali kuandamana, na bunge lote wamechaguana wanaofanana mtazamo, nenda huko sheria ni nguvu zako.

ntafanyaje ilinesepe hauna hata ndugu yako yuko somlia

Karibu Polynesian outliers, chagua mwenyewe kisiwa cha kuzamia. You will settle here very peacefully.

Chagua kati ya hizi hapa

1. Darfur
2. Abbotabard
3. Afghanistan
4. Libya

hapo vipi?

Afghanistan katika mji wa Kundus. Hapo pako poa tu, cocain ya kumwaga.

Chagua kati ya hizi hapa

1. Darfur

2. Abbotabard

3. Afghanistan

4. Libya

hapo vipi?

kati ya ulizozitaja sijui bora ipi libya kungekuwa hakuna micharuko ninge sepa huko darfud alishaabab ni kwikwi

mkuu nenda nchi ya jirani inaitwa zanzibar

hapo zenj lini ikawa nchi ntacheki kifodi kinacho binuka huko humgomo a town wa vifod ungekuwa haujaisha ninge kodi kinidondoshe hapo mnazi mmoja

Back
Top Bottom