Sanjara Honey
Member
- Jul 1, 2009
- 71
- 32
Nina Mchangamanuo wa Kibiashara ambao umekwisha shinda kumi-bora katika mashindano matatu tofauti ya kitaifa. Japo mtaji unaohitajika si mkubwa, lakini umeshindikana kupatikana kupitia Benki. Hii ni kutokana na taratibu na mlengo/mtazamo wa Benki zetu. Biashara yenyewe ina sifa hizi:
Kama uko tayari kukutana na Mvumishaji (Business Promoter) wa Mchangamanuo huu, tuwasiliane kupitia:
sanjarahoneytz@gmail.com
ANGALIZO: Ni wale tu walio na nia ya dhati kuwekeza ndo wanaalikwa kuwasiliana kupitia email hapo juu.
- Inatoa gawio la 35-40% ya mtaji-wekezwa kwa mwaka
- Biashara haipungui mwaka mzima na sekta iliyoko Biashara hii mahitaji yanaongezeka kwa kasi mno kuliko watoahuduma/bidhaa waliopo na wanaojiunga
- Haimhitaji mwekezaji/promoter kutumia muda mwingi katika kuisimamia
- Ni nzuri sana kwa watu wa rika zote lakini hasa vijana wenye uwezo wa kati na wazee wanaostaafu au waliostaafu
- Inatoa ajira kwa watanzania wenzetu
- Inaongeza pato la wajasiriamali wengine nje ya mwekezaji/Promoter na nchi kwa ujumla