Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,579
- 5,381
Natafuta mwanaume,ambae ataniamini,natafuta mwanaume ambae atakuwa hana mashaka na mimi ambaye atakuwa anaamini mimi ni mwanamke mkweli kwake yeye,mawasiliano yangu haya hapa mwadisai@gmail.com nitajibu email tena kwa haraka
You can't request to be trusted. Kama mtu hakujui atakuaminije moja kwa moja? Huwezi kumwambia mtu akuamini kama matendo yako ni yenye kuleta mashaka. Na ikiwa matendo yako yamekaa transparent itakua rahisi kwa watu kukuamini. It is not something you ask, it is something you deserve.