Natafuta mwanamke moja hapa mzaliwa wa marangu wa kuwowaa!

Nipo SERIOUS, umri wangu ni miaka 28, nina elimu ya form 4, ni mwajiriwa serikalini, nahitaji aliye na umri usiozidi miaka 28, na awe amehitimu 4m 4 na kuendelea, dini yoyote, pls asiwe mfupi, wala mweusi. <br />
Nawasilisha.

Hung'oi mtoto wa kiMarangu na ajira ya serikalini wewee...una maduka mangapi ya spea? vifaa vya ujenzi?..unafanya bishara ganui basi angalau?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom