ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,268
- 8,369
Umri ni namba tu dadangu, kikubwa ni makubaliano yenu wawili tuMmm
nitakuwa nimekuzidi umri
akhuuuu
Umri ni namba tu dadangu, kikubwa ni makubaliano yenu wawili tuMmm
nitakuwa nimekuzidi umri
akhuuuu
AiseeHawalagi kitimoto wala tungi na wakati yeye ni mchaga wa Kishimundu tungi na mdudu ni kama mafuta ya kupaka
Anaweza kukubali mkaoana, ukizingatia wewe sio msabatoMi ningechangamkia hiyo fursa ila ndo hivyo elimu yangu ni ya chuo (sio university) nina elimu ya chuo cha ufundi,
Pia sio mwajiriwa ila mimi nauzaga majeneza na sanda.
Ewe Mtu uitwaye AROON ukiwa unaeleza nambo yako hapa usiitaje ulutheri kiku....au nikuanzishie hapa ya kuhusu mama yenu G. White mpaka asubuhi.Acha kutishia wakubwa nyau, huo ndio ukweli kwan watu hao hawaabudu sanamu la mungu wa misri isis? Now linaitwa bikira maria
Haya mambo ya kukwepesha ukweli sina, ni dhahiri mtoa uzi hawataki wasabato kwakuwa hawana hayo mambo, ila anawataka warutheli na walokole kwakuwa wanaendana na taratibu zao za ibada , hasa sikukuu za paganism, ambazo zinatoka ROMA,
Kisa???Mie nikimzidi mwanaume hata siku tu kwakweli hapana.
Huna lolote wewe, kwani uruthel na uroma kuna tofauti ipi kubwa?Ewe Mtu uitwaye AROON ukiwa unaeleza nambo yako hapa usiitaje ulutheri kiku....au nikuanzishie hapa ya kuhusu mama yenu G. White mpaka asubuhi.
Umeelewa weyee?
Ukisema kila dini inaabudu kwa staili yake ni udanganyifu wa shetani, msingi wa ibada yako ni nini? Wenye staili zao ni Islam, Hindu n. k.hawa wana misahafu yao wenyewe. Lakini madhehebu yaliyochakachua biblia na kufanya marekebisho, biblia inasema ni mabinti wa Yule kahaba wa ufunuo 17:1-9Unajua nini mkuu! Hizi dini wote tumeletewa kwahiyo sioni haja ya kukomalia sana tusiyoyajua ama tusiyo na uhakika nayo, ilihali tunaamini Mungu wetu ni mmoja na kila dhehebu linamuabudu kwa staili yake
Huna lolote wewe, kwani uruthel na uroma kuna tofauti ipi kubwa?
Lutheran ni mtoto mdogo wa roma, bint mkubwa ni anglican na orthodox church
NDIO MAANA BIBLIA INAMUITA ROMAN CATHOLIC mama wa makahaba, ANA MABINT WENGI yaani makanisa au madhehebu , yenye vijidhehebu vingi kama utitiri
Ukisema kila dini inaabudu kwa staili yake ni udanganyifu wa shetani, msingi wa ibada yako ni nini? Wenye staili zao ni Islam, Hindu n. k.hawa wana misahafu yao wenyewe. Lakini madhehebu yaliyochakachua biblia na kufanya marekebisho, biblia inasema ni mabinti wa Yule kahaba wa ufunuo 17:1-9
Kwani baby T mie nawe hatuwezi kua wapenzi kwakua tumepatiana jf?Looking for spouse online ni kutafuta majanga,tafuta huko huko mtaani,huku chenga nyingi.
Kupenda ni rahisi sana kuliko kunywa majiHivi kupenda ni kitu rahisi sana?...eti nitampenda kwa moyo wangi wote.
umepata tayariSalama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
You spare my life.Nina mawazo Na stress hapa.But post yako hii imenifanya Walau nichekeeee.Seriously!!!Hapo kwenye kumaliza naye muda wa kuishi umenitisha sana mkuu
Umeathirika nini?
JF sihami ng'oooooo!sasa ukiwa umenizidi ndo nini sasa...yani wewe jua limezama tayari bado unaona iyo miaka 2 nyingi sana..haya bhana nisionekane nimekamia sana baki na papuchi yako
Mdada yupo Sahihi.Wewe huwajui Wasabatoo.Nimewai ishi Na ndugu mmoja Msabatoo.Aiseeeee!wajuaji wachoyooo,wao ndo hawana Dhambi...kila Siku kuichambua biblia lakini hawafuati ya Huko Bibiliani.Hapana kwa kweli nimemuelewaaa.Wasabatoo.Walau Wasabatoo wa Kwetu Pazuri..Yaani wana kwenda Na Dunia kama kujitengenezaa.Wa Hapa TZ yote No but Rohooo ngumu wabinafsi sana.Usinywe Chai ni sumu.Asubuhi Na mapema wa kwanza kuinywaa.Ni ngumu sana kwa tabia zako za kibaguzi kupata mme unayefikiri anakufaa na ni wa maana wakati wewe siyo wa maana.
i.e i. Awe mkristo lakini siyo msabatho
ii. Wasabatho wana masharti magumu
iii. Wasabatho wana tabia za kukera.
If you know teach, if you don't know learn. Wewe ni mfano sahihi kabisa wa aina ya watanzania. Yaani umbea na kuongea vitu ambavyo havina msingi.Mdada yupo Sahihi.Wewe huwajui Wasabatoo.Nimewai ishi Na ndugu mmoja Msabatoo.Aiseeeee!wajuaji wachoyooo,wao ndo hawana Dhambi...kila Siku kuichambua biblia lakini hawafuati ya Huko Bibiliani.Hapana kwa kweli nimemuelewaaa.Wasabatoo.Walau Wasabatoo wa Kwetu Pazuri..Yaani wana kwenda Na Dunia kama kujitengenezaa.Wa Hapa TZ yote No but Rohooo ngumu wabinafsi sana.Usinywe Chai ni sumu.Asubuhi Na mapema wa kwanza kuinywaa.
Kwanini sisi wasabato mnatunyanyapaa sana jamani?? Mtu wa pili wewe kusema isipokuwa msabato, any reasons behind??Salama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
JF sihami ng'oooooo!