wakuu hali zenu, kwa yoyote mwenye connection ya watu wanaonunua haya magari, mie natafuta mteja, tukubaliane bei ni mil 55, tunaandikishana mkataba likifika ana nunua, hatoi hata hela yake mpaka lifike. kama muhitaji ama unamjuwa mtu nipm
Scania 113/310
Year 1990
KM 775.789
LHD
Protection FB 6
Air Condition
Scania 113/310
Year 1990
KM 775.789
LHD
Protection FB 6
Air Condition