Natafuta mpenzi [msichana mzuri}

kila la kheri ukifanikiwa utatujulisha humu humu kama umepata mwenye makalio makubwaaaa, au wa miaka zaidi 35, au miaka 20! Ila inawezekana ukapata wawili kwa mpigo maana mwenye miaka 35 au zaidi hawezi kwa wakati huo huo kuwa na miaka 20....
 
Naitwa eriqure ,ni mvulana mtanashati ..nakaa dar ila sahivi nipo morogoro .natafuta msichana mzuri .mwenye vigezo vifwatavyo

  • awe ni mkubwa kuliko mimi kimiaka yani shuga mami kwanzia 35 nakuendelea
  • awe mweupe au mweusi
  • awe chini ya miaka 20 ila sio chini ya miaka 18
  • awe ana umbo zuri ,awena makalio makubwa ,ana hips
  • awe mwenye elimu yani msomi
  • awe anakaa morogoro au pia hata mikoa mingine ila mimi niko moro
mwenye vigezo hivyo anitafute kwenye namba yangu ya simu 0717781493

Kaza buti kaka,utampata tu huyo umtakaye.
 
wanchekesha ...mbona kama hujitambui??? mara shugamami (35yrs), mara si chini ya miaka 20????

BTW sio kila king'aacho ni dhahabu na vizuri aghali. KAZI NI KWAKO
 
kijana una hatari mana hueleweki, nenda fb utawapata wengi sana.. take care
 
kweli kazi Tunayo
Msichana Mzuri, Tena Miaka 35..Huyohuyo Awe Shugamami!

af huyo huyo awe chini ya miaka 20 na tena si chini ya miaka 18!
afanaleki kufa hakuna breki
soseji ah sorre sosi Asprin! (af nimmemissije saaasa)
 
Last edited by a moderator:
images


Haya endelea mkuu....
 
af huyo huyo awe chini ya miaka 20 na tena si chini ya miaka 18!
afanaleki kufa hakuna breki
soseji ah sorre sosi Asprin! (af nimmemissije saaasa)

Jamani Mbona Mnamisiana Wenyewe Tu, Mimi Je?
 
Last edited by a moderator:
mmmnh hii trend ya kutafuta mijimama inasikitisha anyway fair play....both parties knows what they want....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom