Natafuta marafiki wa kike wenye asili ya kiarabu na wa kihindi

Manlax L

New Member
Aug 7, 2013
1
1
Naitwa Manlax nipo Kahama-Shinyanga, nina miaka 28 sasa, ni mtanzania halisi natafuta marafiki wa kike wenye asili ya kiarabu na wahindi kati ya miaka 18-24, nimefikia kutafuta matrafiki wa category hiyo kwani nahitaji pia kuwa na marafiki wa namna hiyo. Nipo serious na hili suala, kama inakuhusu tafadhali nitafute kupitia no. 0719702061, au email: luhuyemanlax@live.co.uk . PLS USIBIP, SMS ZOTE ZITAJIBIWA. Vigezo na masharti kuzingatiwa
 

Attachments

  • 603842_266100993533972_2098248206_n.jpg
    603842_266100993533972_2098248206_n.jpg
    13.3 KB · Views: 394
Mbona hapo kahama wengi tu? Au hujawaona? nenda pale mtaa wa uhindini,na kule majengo na nyasubi wamejaa warabu
 
Amekoma, amekoma, alidhani kuwa poa eeeh...!!! wabongo mnatisha, mwenzenu kawel hadí "pikcha" nyie mnamkata maini namna hiyo...!?
 
Mbona hapo kahama wengi tu? Au hujawaona? nenda pale mtaa wa uhindini,na kule majengo na nyasubi wamejaa warabu

Huyu anataka wa Ki elektroniki, sio wa live líve , ndo maana ametoa mawasiliano yake ya kielektroniki..
 
Back
Top Bottom