Natafuta mafundi seremala 6-10 au hata kama una uwezo wa kutumia msumeno, nyundo na tape measure vizuri

Merchante

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,294
2,684
Wakuu!

Niende moja kwa moja kwenye mada, natafuta mafundi seremala au mtu yeyote mwenye uwezo tajwa hapo juu.

Niko Mafinga mjini, eneo la kazi ni Mufindi wilayani si hapa mjini. Ni kazi ya muda tu, ni kazi ya kujenga Chinese Camps.

Malipo ni TSH 25,000/= Per day.

Ni muhimu na haraka sana wanahitajika, ni-PM kwa anaehitaji.
 
Kazi ya muda gani? Nichukukue usafiri
 
Kula kulala inakuaje ni vyema ungeweka detaiLs zote tuna washkaji ambao ni mishe zao hizo ili tukiwapa info fuwape kamili kama wakipenda wakucheki moja kwa moJa
Kula,kulala ni bure,pia usafiri kutoka hapa Mafinga town mpaka huko camp ni bure siku ya kwenda na kurudi wakimaliza kazi.
Watakua wanaishi Camp kipindi chote cha kazi.
 
Camps kama hizi.
IMG-20220908-WA0005.jpg
 
Wakuu!

Niende moja kwa moja kwenye mada, natafuta mafundi seremala au mtu yeyote mwenye uwezo tajwa hapo juu.

Niko Mafinga mjini, eneo la kazi ni Mufindi wilayani si hapa mjini. Ni kazi ya muda tu, ni kazi ya kujenga Chinese Camps.

Malipo ni TSH 25,000/= Per day.

Ni muhimu na haraka sana wanahitajika, ni-PM kwa anaehitaji.
mkuu tupe detail zilzo shiba
 
Ndio wanataka kujenga road fulani huko mkuu ama
 
Wakuu!

Niende moja kwa moja kwenye mada, natafuta mafundi seremala au mtu yeyote mwenye uwezo tajwa hapo juu.

Niko Mafinga mjini, eneo la kazi ni Mufindi wilayani si hapa mjini. Ni kazi ya muda tu, ni kazi ya kujenga Chinese Camps.

Malipo ni TSH 25,000/= Per day.

Ni muhimu na haraka sana wanahitajika, ni-PM kwa anaehitaji.
Ninao vijana wazuri tatizo wako mbali na hapo, ni wachapa kazi sana ungewafurahia
 
Weka namba ya simu tukuletee vijana.
Pia tuma picha za sehemu watakayolala. Maana mambo ya kuishi kambini ni noma. Kuamka SAA 11 ASB kulala SAA 2 usiku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom