Natafuta maduka ya vifaa vya saloon za kiume yalipo; anyejua anisaidie

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Nahitaji msaada kwa yeyote anayejua yalipo maduka ya vifaa vya saluni za kiume anijulishe yalipo. Nahitaji viti vya kuzunguka, mashine za kunyolea na vifaa vingine. Asante.
 
Nahitaji msaada kwa yeyote anayejua yalipo maduka ya vifaa vya saluni za kiume anijulishe yalipo. Nahitaji viti vya kuzunguka, mashine za kunyolea na vifaa vingine. Asante.
 
Pale faya gapco petro steshen vuka barabara itakayo muhimbili kwenda kariako .petro steshen inatazamana ya yadi ya magari,baada ya yadi ya magari gorofa la mbele yako lipo duka lina kila kitu kuanzia viti,sterilazer,mashine etc
 
Mkuu kuna jamaa wapo fire.I think ni karibu na petrol station ya oryx.jina ni kama vile radium saloon(labda nimekosea jina).but jaribu those places.
Yes, kama unatokea traffic light za fire kuelekeea kariakoo mkono wa kulia kuna yadi ya magari,baada ya hapo pinda mtaa wa kulia hilo duka lipo hapo na vifaa vya kichina
 
Asanteni sana kwa maelekezo. JF oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Thanx my dia. JF oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nahitaji mashine ya kunyolea nadhan maelezo ya hapo juu yatanisaidia kuipata
 
Back
Top Bottom