Natafuta kununua Toyota vitz

Mahamud_2014

New Member
Feb 7, 2014
1
0
Habari wanaJF,

Natafuta gari Toyota vitz ya kununua ya kuanzia mwaka 2004,,engine cc kuanzia 1000 kushuka chin,automatic.

Anaeuza anichek 0759683016 niko Dar.
 
Nimeipata gar,,shukran kwa wote tuliowasiliana baada ya tangazo hili.
Thanks chalii wa ara kwa kunisaidia kuipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom