Natafuta kontena fupi

Uko wapi?.kwa dar usipungukiwe na 2.5M Hadi 3.2M.Ngoja waje wajuvi watupe muongozo.
 
Mkuu ukipata mengi kwa hiyo bei kama yatakua kwenye hali nzuri na full documents naomba usisahau kuniunganisha na mimi nina shida nayo mengi sanaaaa
 
Hizo Bei ni kwa 20Feet.Nenda kurasini yapo mengi Sana.Unaponunua usisahau documents zake.

Ukitaka kwa Bei poa agiza kwa hizi shipping companies.
 
Mkuu kwa 2.7M full documents ni ngumu sanaaaa na ndio maana nikamwambia mdau hapo kuwa akipata mengi anijuze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom