habari wana JF, natafuta kiwanja kisizidi millioni sita, ahsanteni
habari wana JF, natafuta kiwanja kisizidi millioni sita, ahsanteni
nimekupata mkuu kweli ulichosema niko Dar, kiwanja kikiwa kinyerezi, pugu, kitunda, na sehemu nyingine yeyote mana kipato changu ni cha kawaida, ahsanteni na Mungu awabariki
kuna viwanja 2 kimoja kipo changanyikeni wilaya ya ilala ni mbele ya Pugu kina sqm 726 kinauzwa 7m, kingine kipo buyuni kina sqm926 kinauzwa 11m.nimekupata mkuu kweli ulichosema niko Dar, kiwanja kikiwa kinyerezi, pugu, kitunda, na sehemu nyingine yeyote mana kipato changu ni cha kawaida, ahsanteni na Mungu awabariki
Aise kuna kiwanja kiko kiharaka, plots 30 kwa 20, milioni 3.5.
Tuwasiliane.
kupitia namba 0655545316
Kiharaka iko wapi ?
Baada ya Bunju ukivuka daraja kulia
habari wana JF, natafuta kiwanja kisizidi millioni sita, ahsanteni