Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 50
Wana JF natafuta kiwanja/Nyumba ya kununua maeneo ya Keko Machungwa,Staki shari Kurasini, Chang'ombe maduka mawili, nAHITAJI KIWANJA AU JUMBA BOVU 10M NDIO BAJETI YANGU
Kiluvya kwa Kawawa vipi patakufaa kama patafaa nipigie 0754383174. Mr Hamad Mfaume
mkuu mbona wengine tungependa kujua na kupata hizo data...nitafute kwa 0764435828 utapata kiwanja hapo keko