Natafuta kazi

svoca

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
373
69
Ni kijana niliyehtmu mwaka 2012 ktk fani ya utawala wa umma lakini mpaka hv leo sijabahatika kupata walau kibarua cha aina yeyote nahangaika tu na bahasha zangu mkononi wapendwa kama kuna msaada tujuzane jamani.
 
ucjal kaka kaz nitaipiga kama kawaida najiamini kwa hilo
 
Hii nzuri nimeipenda ubarikiwe ndugu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
asante kaka tuzd kuombeana maani Maombi ndio ngao yetu waaminio.
 
utaupata mm c wa kusahau nlipotoka hata nkdeley kidogo nitatoa tu kwa sab.zisizozuilika
 
kaza but usbweteke...big up monica...n wa
chache wny moyo km wako...yan mtu hata aone oficn kwao kuna nafax moja mbil hawez kutangaxa hapa jf had nduguze waishe wote
 
ni kweli huyu dada yangu nimemuapriciate na ana moyo wa aina yake Mungu tu ndiye atakayemlipa
 
we hujanielewa nilichosema najiamin ni ktk swala zma la uwajibikaj cos kuna member aliniusia hlo,so nikakoment najiamin kwa hlo ndo nilivyomaanisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom