Kuna kampuni inaitwa ukamwi ni mawakala wa wafanyakazi viwandani kwa kazi za vibaruaHabari zenu wakuu , kitaaluma mim ni mwandishi wa habari naomba mwenye kazi jamani kwasasa nipo tayari kufanya kazi yeyote ile ,iwe usafi ,carwash ,dukani kikubwa iwe ya kwenda na kurudi . Location nipo Iringa Igumbilo
Ipo vingunguti maeneo gani mkuuKuna kampuni inaitwa ukamwi ni mawakala wa wafanyakazi viwandani kwa kazi za vibarua
Na kuhusu malipo kwa siku ni elfu 11 na ofisi zao zipo dar ofisi zao zipo vingunguti
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Je hawana mawasiliano yoyote mkuu ila nipate kufika hapoKuna kampuni inaitwa ukamwi ni mawakala wa wafanyakazi viwandani kwa kazi za vibarua
Na kuhusu malipo kwa siku ni elfu 11 na ofisi zao zipo dar ofisi zao zipo vingunguti
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Jaribu kutembelea maeneo ya ipogolo hadi kibwabwa maeneo ya kiwandani huwezi kosa fursa za kibarua.Habari zenu wakuu , kitaaluma mim ni mwandishi wa habari naomba mwenye kazi jamani kwasasa nipo tayari kufanya kazi yeyote ile ,iwe usafi ,carwash ,dukani kikubwa iwe ya kwenda na kurudi . Location nipo Iringa Igumbilo
Habari zenu wakuu , kitaaluma mim ni mwandishi wa habari naomba mwenye kazi jamani kwasasa nipo tayari kufanya kazi yeyote ile ,iwe usafi ,carwash ,dukani kikubwa iwe ya kwenda na kurudi . Location nipo Iringa Igumbilo
Diploma
Kingereza nisiwe muongo labda kiswahili hapo naweza sanaa tu
Ngoja nikuambie ukweli. Tanzania katika sekta ambayo ina upungufu mkubwa wa professionals ni uandishi wa habari. Tanzania kuna uhaba mkubwa sana wa waandishi wa habari. Mkazo: nimesema ''waandishi wa habari'' na siyo hawa maripota wachumia tumbo wanaojifanya ni waandishi wa habari. Kama upande wa investigative journalism, ni kama hakuna watu kabisa. Tatizo kubwa ni kwamba nadhani wengi waliosomea hii kazi hawakupata elimu ya viwango, ni waoga, wana tamaa na njaa kali. Kama kweli umesomea uandishi wa habari ni kwa nini usichangamkie ombwe kubwa la uandishi wa habari lililopo? Kwa mfano kuna sasa hivi kuna uvumi kuwa waziri mkuu alimehongwa fedha nyingi na hawa jamaa wa DP world na akazimtumia kununua apartments Mikocheni. Habari kama hii ikipata mwandishi jasiri wa kuifuatilia ni hit nzuri sana.Habari zenu wakuu , kitaaluma mim ni mwandishi wa habari naomba mwenye kazi jamani kwasasa nipo tayari kufanya kazi yeyote ile ,iwe usafi ,carwash ,dukani kikubwa iwe ya kwenda na kurudi . Location nipo Iringa Igumbilo
Sawa, kulikuwa na fursa ya kuandika hizo articles za kiingereza ingeweza kukufaa maana ungefanya remotely huko huko uliko!
Hii inakuaje? Lazima uwe journalist?
Siyo lazima! Ingawa mtu mwenye background ya Journalism au Mass Communication anaweza kuifanya vizuri zaidi! Ukiweza na complete and excellent command of English language unaipiga tu vizuri! Pia kama field yako inahusiana na mambo ya jamii nafikiri nayo inaweza kuwa added advantage!
Hiyo itakua imenipita pembeni, binafsi na IT ila natamani sana hii kada ya journalism
Elimu na kupata maarifa hakuna mwisho! Actually labor market ya sasa inataka watu ambao ni multi-skilled!!! Usibaki na IT tu, kuna skills kadhaa zinazoweza kutengeneza combination nzuri na profession yako ya IT! Hujachelewa! Upande wa IT unafanya nini kwa sasa?
Kwa saiv npo kwenye mambo ya usafirishaji wa mizigo! Kule kwenye IT nliona takufa njaaa
Safi, ingawa kwenye muda wako wa ziada bado unaweza kuendelea kuongeza maarifa na kuongeza “related skills” zinazoweza kuikuza na kuiuza vizuri taaluma yako ya IT! Kama nilivyosema, soko la ajira linataka multi-skilled people!