Natafuta kazi za ndani niweze kuendesha maisha yangu

KEMWERU

Member
Jun 28, 2022
12
48
Naitwa Irene Misana mimi ni msichana wa miaka 20 nimekuja hapa Dar es salaam miezi mitano iliyopita nikitokea mkoa wa Mwanza na kufikia kwa rafiki yangu dhumuni la kuja huku ni kutafuta kazi yoyote ili niweze kujiingizia kipato.

Kwa bahati mbaya tangu nifike sijabahatika kupata kazi yoyote zaidi nimeishia kuishi maisha ya shida na tabu.

Yoyote mwenye kunisaidia hata zikapatikana kazi za ndani nipo tayari kufanya niweze kuendesha maisha yangu.

Namba yangu ni 0693818606.

Ahsanteni naamini mtanisaidia maana hali mbaya.
 
Naitwa Irene Misana mimi ni msichana wa miaka 20 nimekuja hapa Dar es salaam miezi mitano iliyopita nikitokea mkoa wa Mwanza na kufikia kwa rafiki yangu dhumuni la kuja huku ni kutafuta kazi yoyote ili niweze kujiingizia kipato

Kwa bahati mbaya tangu nifike sijabahatika kupata kazi yoyote zaidi nimeishia kuishi maisha ya shida na tabu

Yoyote mwenye kunisaidia hata zikapatikana kazi za ndani nipo tayali kufanya niweze kuendesha maisha yangu

Namba yangu ni 0693818606

Ahsanteni naamini mtanisaidia maana hali mbaya
Nakuombea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona post hii wewe ni mwanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona post hii wewe ni mwanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
Piga hiyo namba yeye ni binti
 
Mtafute joyce kilia bila shaka atakusaidia kupata kazi
 
Jamani huyu dada aliniambia nimsaidie kutangaza mtandaoni me nikaandika direct so am verry sorry but wenye uhitaji washaanza kumtafuta

Naitwa Irene Misana mimi ni msichana wa miaka 20 nimekuja hapa Dar es salaam miezi mitano iliyopita nikitokea mkoa wa Mwanza na kufikia kwa rafiki yangu dhumuni la kuja huku ni kutafuta kazi yoyote ili niweze kujiingizia kipato

Kwa bahati mbaya tangu nifike sijabahatika kupata kazi yoyote zaidi nimeishia kuishi maisha ya shida na tabu

Yoyote mwenye kunisaidia hata zikapatikana kazi za ndani nipo tayali kufanya niweze kuendesha maisha yangu

Namba yangu ni 0693818606

Ahsanteni naamini mtanisaidia maana hali mbaya
 
Mbona post hii wewe ni mwanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh aisee? Watu mnafukua makaburi kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom