Natafuta kazi ya ualimu

Mnkeni jay

Member
Jan 18, 2013
19
2
Mimi ni kijana nimehitimu ktk chuo kikuu hapa tz, nina shahada ya elimu ktk masomo ya arts esp historia na kiswahili. Natafuta kazi ktk private sector popote nchini kwani nimeona serikali yetu ni wababaishaji na elimu tayar nimeshaipata, sasa cha msingi hapa ni kujali muda.
 
Subiri ajira ya serikali trh 28 wewe, acha papara!
 
Mimi ni kijana nimehitimu ktk chuo kikuu hapa tz, nina shahada ya elimu ktk masomo ya arts esp historia na kiswahili. Natafuta kazi ktk private sector popote nchini kwani nimeona serikali yetu ni wababaishaji na elimu tayar nimeshaipata, sasa cha msingi hapa ni kujali muda.

Kiongozi masomo yako haina dili. Kama math au phys send ua phone in my pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom