Natafuta Kazi ya Ualimu!..

Mchakatoh

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
302
39
Masomo yangu ni History na Geography...level yangu ni bachelor ya ualimu..ni sms 0682013161..
 
Piga moyo konde ajira zpo njian, by th way mwl s wa kuhangaika kutafuta kazi. Tulia japo kwel tm inaenda!
 
Mie siamini kama ajira ni zipo 100% maana serikali inavyotaabika na hela!..eti ndo waajiri walimu elf 23 mwakani!..Kweli??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom