Natafuta kazi ya Ualimu wa Namba

kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,259
319
Ndugu wana jf kwa mwenye network na private skuls au sehemu anakohitajika mwlm wa namba na Computer, anistue.
Nimehitimu UDSM BsC ed Maths and Computer.
Naomba kuwasilisha.
 
0713810857 mchek huyu jamaa ana conection nzuri sana
 
ndugu wana jf kwa mwenye network na private skuls au sehemu anakohitajika mwlm wa namba na computer, anistue.
Nimehitimu udsm bsc ed maths and computer.
Naomba kuwasilisha.
wewe ganto k sema umehitimu mwaka gani sisi tunataka fresh wa mwaka 2011 .tupo msewe gorani
 
ndugu wana jf kwa mwenye network na private skuls au sehemu anakohitajika mwlm wa namba na computer, anistue.
Nimehitimu udsm bsc ed maths and computer.
Naomba kuwasilisha.
hivi na nyie nao serikali imeshidwa kuwaajili, au gpa hailidhishi.
 
Ndugu wana jf kwa mwenye network na private skuls au sehemu anakohitajika mwlm wa namba na Computer, anistue.
Nimehitimu UDSM BsC ed Maths and Computer.
Naomba kuwasilisha.
wasiliana na jamaa huyu 0754479037 huko moshi atakukonnect kuna shule ya masister wanahitaji mwalimu haraka mno
 
Kwani ajira za ualimu nazo shida? mbona mimi huwa nafundisha part time baada ya kumaliza kazi zangu za medical?
 
We ndo mchawi wangu. Ukija mjini ntakupotezea kariakoo ufie huko.

Shukrani kaka, ntamcontact immediately.

Ndugu wana jf kwa mwenye network na private skuls au sehemu anakohitajika mwlm wa namba na Computer, anistue.
Nimehitimu UDSM BsC ed Maths and Computer.
Naomba kuwasilisha.

kasinge JF inasomwa na watu wengi sana na baadhi ya wasomaji hao ni waajiri, lugha unayoitumia itakupotezea bahati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom