Natafuta kazi ya kujitolea

Mambo vipi ndugu nimesoma post yako ila mimi nakushauli mambo ya kujitolea siku hizi yamepitwa na wakati ....utapoteza muda wako bure

Ni mara mia ukatumia muda wako kutafuta hata ajira ambayo inaweza kukupa hela ya kujikimuu
 
Jamaa nahisi lengo lake anataka ajifunze kazi ili kupata kazi iwe rahisi kwake.
 
Mambo vipi ndugu nimesoma post yako ila mimi nakushauli mambo ya kujitolea siku hizi yamepitwa na wakati ....utapoteza muda wako bure

Ni mara mia ukatumia muda wako kutafuta hata ajira ambayo inaweza kukupa hela ya kujikimuu

Mkuu unampotosha mwenzako.

Kujitolea ni jambo jema sana. Unawezakujitolea sehemu mbalimbali. Kusafisha shule za watoto wadogo. Kusafisha hospitali. Kuwapikia watoto yatima kwenye makazi yao.

Yaani hatankama umeajiriwa....ni vyema kutenga muda wako hata saa moja kufanya kazi za kujitolea.
 
nitafute 0768577654

Wealthier Jina lako lina reflect status yako!!! maana kila post ya aneyesaka ajira na volunteer kwa fani tofauti we unampa contact good inaelekea wewe ni Hr mkubwa saana na kampuni zako ni multipurpose hongereni wadau mlio bahatika kupewa contact na mkafanikiwa, msio fanikiwa endeleeni kutafuta link na channel
:laser::cheer2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom