Natafuta kazi ya kufundisha "kiitaliano au kihispania " part time

Davies lyimo

Member
Mar 28, 2011
9
0
Nipo moshi na ninafanya kazi kwenye kampuni binafsi.Sasa natafuta watu watakaopenda kujifunza Kuzungumza,kuandika na kusoma lugha ya kiitaliano
au kihispania.
 
Una darasa na kama unalo liko wapi. Kama huna tafuta darasa ili iwe rahisi kupata wanafunzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom