Natafuta kazi ya hotel

Danfordkahwa

Senior Member
Mar 15, 2012
187
14
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 natafuta kazi ya hotel. Nimetunukiwa ngazi ya cheti pia astashahada ya uandishi wa habari. Nina uzoefu wa miaka saba kwenye mambo ya hotel 0656 015564.
 
Iam 32 years old looking for job as waiter, barman, supervisior, restaurant manager .Hold certificate in food and beverage service and diploma in journalism and mass communication. Ihave seven years working expriance in hotel industry call 0656015564
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom