Natafuta kazi ya hostess mabasi ya mikoani

Shughuli ya usafirishaji inakuja Kasi ktk utoaji wa ajira hapa nchini. Ukiangalia jinsi watu wangapi wanapata rizki kupitia usafirishaji asee ni wengi sana. Inatakiwa usimamizi mzuri sana na kuepusha ma ajali.
Jamani wenye connection mpeni kazi. Ila hizi kazi unatakiwa uwe na mtu wa ndani kama hawajatangaza nafasi.

Au ngoma ikiwa ngumu jilipue kwa kufanya hivi. Angalia kampuni gani imeleta magari mapya hivi karibuni. Kwa mfano Abood na Tahmidi zimeleta muda si mrefu. We nenda ofisini kwao kutana na wajanja wa ofisini wakupe njia. Au nenda kwa wale wanaokagua gari mlangoni au meneja wa gari kwa mfano gari la Iringa-Dar mwambie shida yako utapata pa kuanzia.

Hakikisha una muonekano mzuri maana competition huanzia hapo.
 
Ahsante kaka.nimekupata
 
Mbona simpo tu nenda kwa dereva au msimamiz wa kampuni husika pale stand mwite mkalishe mchane mfu mtoe kwanza cha teni mwambie pole kwa kukusumbua na muhaid ukiniweka kuna kias nitakushukuru chukua namba tulia hakikisha unaemfuata ni powered kwenye kampun na usifanye kwa siku moja nenda leo nenda kesho soma mazingir kama hujapata kaz ndan ya wiki njoo hapa nikupe hela yako nimefanya kaz miaka mitano kwenye buses mbalimbl nina uzoefu
 
Nin umri wa miaka 24
Nimebahatika kuishia kidato cha 4
Natumia lugha mbili english na kiswahili
Sijawahi fanya kazi kwenye lolote ila kwa upendo nilionao na hii kazi nitafanya kama nimewahi kufanya kazi hii
Nitafute nikuunge na mtu
 
Mbona simpo tu nenda kwa dereva au msimamiz wa kampuni husika pale stand mwite mkalishe mchane mfu mtoe kwanza cha teni mwambie pole kwa kukusumbua na muhaid ukiniweka kuna kias nitakushukuru chukua namba tulia hakikisha unaemfuata ni powered kwenye kampun na usifanye kwa siku moja nenda leo nenda kesho soma mazingir kama hujapata kaz ndan ya wiki njoo hapa nikupe hela yako nimefanya kaz miaka mitano kwenye buses mbalimbl nina uzoefu
Unataka aliwe mpaka iote sugu na kazi asipate, hii mbinu kwa sasa ni mazoezi.
 
Back
Top Bottom