Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
mi mwenyewe kuna jamaa alishaleta sanaa za hivi mpaka kesho anajifanya
bado sijui nini ila alinilamba 20,000/= na alikua anataka nimpe kama laki na kitu
hivi nikamshitukia ila jamaa yangu mwingine ambaye anye yupo ofs hizo akaniambia
niachane naye tu
 
Mi najua hizo chance ni za watoto wa wakubwa waliofeli au ambao hawana muelekeo ndio wanaenda kudampiwa kule
 
mi mwenyewe kuna jamaa alishaleta sanaa za hivi mpaka kesho anajifanya
bado sijui nini ila alinilamba 20,000/= na alikua anataka nimpe kama laki na kitu
hivi nikamshitukia ila jamaa yangu mwingine ambaye anye yupo ofs hizo akaniambia
niachane naye tu

acha kuongopea watu, kama kuna jamaa yako ambae yuko upo, kilichoku2ma upeleke kwa asie mjua nani?
 
Kweli taifa hili linachezewa!Hata wana Jf kweli?Jadilini namna yakusaidia nakuboresha,sio watoto wawakubwa waliofeli ndio ...........a!
 
kama hr wa benki fulani ya wahindi ndo kazi yake kala za wengi tunasubiri kumlipua gazetini tu.
 
Hii yote ni kwa sababu katika nchi yetu hizi kazi zimefanywa siri kuuuuuuwa sana kaliko hataza Mungu!!!!

Mambo kama kupata kazi katika idara hiyo yange kuwa wazi matatizo yoote haya yasingekuwepo......!
 
It is something which has been in my blood for years...i have all the qualities (why) some of them approaches me thinking i am one of them!! What are the right directions to be one among them...i am from shamba ... have no hard connections , but very upright and hard working... not forgetting being smart... very sharp in thinking!!!!! any one out there..even if you are one among them... as i know many of you are in here!! pls show me the way how to work for my country!!!! I am very serious and i need serious help from serious people!! if you think you can..PM ME!!!
 
Naombeni direction,nipitie njia gani ili niweze kutimiza hizo ndoto zangu.
 
Habari wakuu, mi huwa navutiwa na napenda sana kufanya kazi za kijasusi! though ninasomea professional nyingine lakini hii nimetokea kuipenda sana huku nikijiamini kuwa naiweza kuifanya! na huwa navutiwa sana na umakini wa PSU mpaka wengine nimewakariri sura zao! tatizo ntaipata vipi? Japo wengine wakinambia kuwa ni risk sana! Je naweza nikapata maelezo naweza ipata vipi?
 
Enzi za mwalimu ilikuwa inafanyika kazi ya ziada kuwapata majajusi, lakini karne hii mhhh!! labda ungonje watangaze kwenye magazeti.
 
maweiwe haitangazwagi kwenye magazeti! ingekua hivyo ningesha-appy!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom