Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
Natafuta kazi Usalama wa Taifa,hata leo naomba mnipe tena naomba mnipe mapema
Nahitaji kazi ambayo nitaifanya kwa malipo madogo ila kwa ajili ya wanajamii
Nataka kuwasaidia kuwajua kwa undani wale waliochukua Pesa za EPA ili wajulikane
Nataka niajiliwe ili nionane na Rais na nimwambie yaliyo moyoni mwa watanzania

Nataka kazi usalama ili na mie nichukue pesa za EPA na niwagawie watanzania Masikini
Nataka tu sababu najua nikiwaomba pesa kwa njia ya kawaida hawatanipa.
Nafuta kazi ili niwape watanzania habari wanazotaka kujua
Niko tayari kufanya nao kazi kwa masharti ya uwazi na ukweli

Nataka Rais Ajue kwamba watu wanafanya ufisadi wa khali ya juu kwasababu ni rafikize
Nataka nimwambie Rais jinsi wachache wanavyowadharau walio wengi
Nataka nimwambie Rais ni watu wangapi mpaka sasa ni mafisadi wakubwa
Nataka kazi usalama ili nimjue vizuri rais wetu na tabia yake ya maamuzi

Nataka kazi usalama ili nifanye uchunguzi kuhusu BOT,
Nataka nimjue mmiliki wa Kagoda alipewa shilingi ngapi ?
Nataka niwajue waliorudisha Pesa za EPA mpaka sasa
Nataka kazi Usalama ili niwaambie watanzania ukweli ni wapi alipo Balali

Nataka kazi Usalama wa taifa ili nitoe majibu kuhusu Chenge
Natafuta kazi usalama ili niwaambie jinsi Dili ya RDC ilivyosukwa
Natafuta kazi ili nijue je Rais anawachukuliaje walihsuika na Richmond
Nataka kujua ni kwanini serikali hawatoi majibu ya Ripoti ya Richmons na EPA

Natafuta kazi siyo kwa ajili ya kumlinda Kada wa CCM wala kiongozi
Natafuta kazi ili kulisnda heshima ya nchi yetu
Natafuta kazi ili nchi hii iwathamini wafanyakazi na wakulima
Niko tayari kwa mshahara mdogo ila niwe huru kuwaambia wananchi

Ndiyo nataka Kazi Usalama wa Taifa na nataka Nafasi ya Ukurugenzi ndiyo ninayo itaka

Mzee hilo shairi limetulia...tutakusaidia kulifikisha kwa Pinda
 
Hatuhitaji urais wa are natural na tunatafuta wenyewe, wazee huweka msingi watu wakali hufuata nyayo kwa kusimama kiume, fisadi walionunua Kiwira na mkapa, na waliokuwa wakuu wa majeshi wa mkapa nani anweza kuwazidi kwa ufisadi?

Fisadi siku zote huwa wakwanza kuziba nyuma wasieleweke, lakini tunawajua tu kwa maneno yao na ubishi hewa, panapofuka moshi chini kuna moto ha! ha! ha!ha
 
Hatuhitaji urais

Baada ya kuukosa, baada ya Nyerere kuwapiga mkwara na njama zote kushindwa? And then you have the nerve to say Im the one with a case of sour grapes?

wa are natural na tunatafuta wenyewe, wazee huweka msingi watu wakali hufuata nyayo kwa kusimama kiume, fisadi walionunua Kiwira na mkapa, na waliokuwa wakuu wa majeshi wa mkapa nani anweza kuwazidi kwa ufisadi?

Nakubali, si ndiyo ilk yenu wote hiyo? Wenzenu wamewazidi ujanja kidogo tu, ama sivyo tungekuwa tunataja majina mengine hapa.

Fisadi siku zote huwa wakwanza kuziba nyuma wasieleweke, lakini tunawajua tu kwa maneno yao na ubishi hewa, panapofuka moshi chini kuna moto ha! ha! ha!ha

Fisadi anajulikana kwa maneno? In the midst of all this spin? And you have the nerve to want to be taken seriously?

Labda na wewe ukubali tu kuwa ni part ya hiyo spin, umeletwa hapa ku distort kwa kuwaambia watu wasikilize maneno na si kuangalia matendo.

No wonder huyu mama Kilango anasema kimoja na kufanya kingine, anajua ufisadi wake wa vitendo atau cover up kwa maneno.Ndivyo ulivyofundishwa hivyo?
 
Kama kawaida maneno mengi msaada hakuna, mkuu Gembe tuwasiliane mimi ninaweza kuku-hook up na wanaohusika, ninaamini kuwa uko srious na ujumbe wako kwenye PM nimeupata, nitakuwekea namba yangu ya simu tuwasiliane, usalama ni kazi tu kama zingine za taifa, tuache kuikuza sana, mkuu Gembe tuwasiliane, ninataka kuamini kuwa you are serious, kwa sababu I am alyways huwa sina utani hapa kwenye uwanja wa Taifa wa JF.

Ahsante Mkuu tunataka wananchi kama wewe!

Mkuu,

Unajua mimi baada ya kutoa tongotongo za Tanzania ughaibuni miaka mingi iliopita, ndio nikaona kwamba haya mambo ya sijui eti yule yumo kwenye "system" au ni mtu wa "system" au ni mmoja wao au wale ni baadhi yao tu, nikaona kwamba wenzetu wameendelea sana na wala hawajikwezi.

Hii pia inanikumbusha mzee mmoja wakati nikiwa mdogo ambae alikuwa ni shushu lakini alipenda sana kuunganisha misafara ya raisi akiwa anapita moja ya barabara maarufu pale Dar, ili mradi tu watu wamuone kwamba yeye ni shushu.

Wenzetu wa Ughaibuni wameendelea, kiasi kwamba hawajali kujitangaza kwa mfano katika suala la ajira.Wao huweka matangazo magazetini wakitafuta wafanyakazi wa idara mbalimbali kama vile IT na administration isipokuwa huwa wanaweka warning pale chini ya tangazo kwamba srceening itachukua muda mrefu na iwe ni siri kati yako na wao na mtu yeyote asijue hata kama ni familia yako.

Lakini mtizamo wa nchi zilizoendelea ni kuona kwamba intelligence officer ni mhimili kati ya serikali na mhalifu wa ndani au serikali ya kigeni na endapo utakikuka miiko ya kazi basi unaweza kuishi kizuizini ingawa hautakuwa kama mzee fulani ambae aliambiwa akae kijijini na akitaka kutoka aombe ruhusa ya mwenyekiti wa kijiji, bali utafaidi baadhi ya manufaa fulani.

Lakini haya mambo ya sijui miwani au kushika bunduki na sifa zingine hazisaidii lolote zaidi ya watu kujifurahisha na maisha ya Cucoo Land.
 
niko siriaz
ninasaka kazi kule..... hivi hata kuajiri ni siri?

Mkuu,

Hivi kuna nini hasa unachohitaji huko?

I mean er..marupurupu ya safari za nje, viji-trips vya mikoani au fwedha za ziada za kutanulia?
 
recruitment plan ya usalama enzi ya nyerere ilikuwa kiboko....wakisha ku mark kuwa una sifa wanazozitaka walikuwa wanaaza kukunote tangu ukiwa primary school...na mara nyingi kwenye grooming walikuwa wakitumia walimu wa primary ,secondary..ets ..ambao almost kwenye shule nyingi huwa nao..kama mkijaribu ku recall mtagundua kuwa wanafunzi wengi walikuwa wakiandaliwa kwa kuanza kupewa vijikazi vya u informer ....kupeleka taarifa za wenzao kwa walimu wa nidhamu..ilikuwa ikianzia hapo...na that is the method used by any serious SECRET SERVICE to get recruiits..

...iwapo utaqualify kuanzia primary ukifika secondary unaendelea kufuatiliwa na kuanza kupewa vi assignment more serious......hadi unafikia kwenda JKT kwa mujibu wa sheria ....tayari unakuwa umekomaa...tayari kwa mafunzo formal....by this hAWA jamaa enzi ya mwalimu walikuwa wanakula vichwa vya ukweli .....

....miaka ya kati 1985 hadi 90"s ..hii kazi ilikuwa neglected for some reasons..but badaye ikaaza kulipa tena ...hapo wengi wa waliokuwa humo wakaanza KILA MMOJA KUSHIKA MKONO WATOTO,WAJOMBA ets AMBAO wala hawajaangaliwa na kuandaliwa..mabotoz...wamaotaka kujionesha na kuogofya watu....ukiona watu wa dizaini hii ujue sio wafanyaji kazi hao......kimsingi hawa ndio WAMEHARIBU HESHIMA IDARA HII....NA KUWAKATISHA TAMAA WENYE MAPENZI YA DHATI KWA SERIKALI.......

..ILA PIA KUNA MASUALA YA KISHERIA ....sheria ya usalama wa taifa iliyofanyiwa marekebisho na bunge....imeifanya hii idara iwe wazi zaidi ....tofauti na zamani ilipokuwa inatisha na kuwa siri hata kuitaja hadharani...sembuse kumjua mtu kuwa anafanya kazi huko...
 
Usalama wa Taifa ilikua zamani, sasa hivi vimejaa vitoto vya mafisadi ambavyo vikilewa tu vinajigamba vinafanya kazi kule.Undugulization on its prime.Yaani ile kitu waiscrap yote isukwe upya from scratch.

Sasa hivi kule juu wamejaa watu hawana taaluma.agency za wenzetu huwa wanaajiri the best people kuongoza taasisi kama hizi.just like kipindi cha nyerere, the best ndo walikua wanashika top notch.

Kwahiyo hata kama una nia nzuri ya kujiunga nao, think again, watakuua, wamejaa watu wanaolindiana maslahi na ndo maana wakiacha kazi kule wanakua wabunge wa CCM, hivi ni nani yule alimwangusha arcado ntagazwa?

Umepatia kweli kweli Mkuu halafu hata TAKUKURU nafikiri siku hizi imeisha badili mwelekeo hizo zote ni sehemu za mafao tu.
 
Mkuu PM

Na watu wa mtindo huu walikuwa hawabadiliki na walifanya kazi kweli kweli kwa masrahi ya umma.

Sema sasa hivi waliobaki wamebadilika kweli. Nafikiri kitengo hiki kinahitaji ukarabati wa hali ya juu sana. Sijui nani atakikarabati?
 
....unajua kazi yoyote ya intelligence kuacha ya polisi haitakiwi kuombwa...hata hao polisi wanaochaguliwa kuingia upelelezi hawaombi direct bali huchaguliwa miongoni mwa makurta wengine.....au huwa identified mikoani wakati wa mchujo wa makurta....

.....kazi ya intelligence ikianza kutangazwa....itakuwa ngumu kupata watu wenye mapenzi na kazi bali utapata watu wenye msukumo na mshahara na ufahari wa kumzunguka rais.....kuliko uwezo halisi ..ambao ndio wapo sasa.....

...mfumo wa mosad..shirika la ujasusi ISRAEL ambao ndio umekuwa msingi wa mafunzo wa majasusi wengi waazilishi.....wao huanza kuwatambua watoto wanaofaa kwa kazi hiyo...TANGU WAKIWA VIDUDU....na kuanza kuwafuatilia hadi wanakua.......

wapalestina wao hasa HAMAS huajiri nao majasusi wao tangu wakiwa vidudu....na hasa hupendelea watoto yatima ...hasa wanaotokana na wazazi waliokufa kwenye mapambano...huwalea tangu wakiwa wadogo....na huanza mafunzo rasmi pale tu wanapopata ufahamu[ie miaka 5]...huandaliwa ki psycholojia wakimjua baba na mama momoja tu -HAMAS ....na wakimjua adui mmoja tu[offcorse ambaye amesababisha wasiwajue wazazi wao wa ki biolojia]=WAISRAEL........majasusi wa aina hii huwa na uzalendo wa ajabu kabisa ..na dakika yoyote wapo tayari kufia taifa lao la PALESTINA....hawahitaji malipo yoyote kwa hili!!!...na wala hawahongeki!!
 
Fisadi anajulikana kwa maneno? In the midst of all this spin? And you have the nerve to want to be taken seriously?

Ni afadhali kuwa mkweli tu hapa JF huwa hatuna uongo sisi huwa tunasema ukweli,

sasa mkuu come clean jinsi baba zenu wadogo walivyopora Kiwira na mkapa, jinsi walivyokuwa wakuu wake wa majeshi, hatupendi haya ila mnayataka wenyewe, kama tuliwahi kuiba sema mkuu halafu tuendelee kuweka jinsi mlivyoliibia taifa, kwa kutumia jeshi hasa madini,

Fisadi ni fisadi tu, huwa hawana aibu na hujitahidi kusimama mbele ya jamii kama vile eti ni wakweli, you are nothing but fisadi, ndio maana akiguswa mkapa tu hapa kilio oooh ushahidi hakuna, oooh ushahidi hakuna, kumbe mnatetea baba zenu wadogo! wezi wakubwa wa mali za taifa mtarudisha zote,

Mtu sio raia wa Tanzania, unanunuaje nyumba ya serikali ambayo imetengwa kwas ajili ya wafanyakazi walalahoi? Ukiuliza nini oooh wakuu wa majeshi wa fisadi then na wewe ni fisadi tu, una nafasi ya kuweka hapa ufisadi wetu as much as you want kama unao na miimi nitaweka kama kazi si unajua kuwa nina fulll nondo ya ufisadi wenu!

Ahsante Mkuu kajifisadi kadogo!
 
ni Afadhali Kuwa Mkweli Tu Hapa Jf Huwa Hatuna Uongo Sisi Huwa Tunasema Ukweli,

sasa Mkuu Come Clean Jinsi Baba Zenu Wadogo Walivyopora Kiwira Na Mkapa, Jinsi Walivyokuwa Wakuu Wake Wa Majeshi, Hatupendi Haya Ila Mnayataka Wenyewe, Kama Tuliwahi Kuiba Sema Mkuu Halafu Tuendelee Kuweka Jinsi Mlivyoliibia Taifa, Kwa Kutumia Jeshi Hasa Madini,

fisadi Ni Fisadi Tu, Huwa Hawana Aibu Na Hujitahidi Kusimama Mbele Ya Jamii Kama Vile Eti Ni Wakweli, You Are Nothing But Fisadi, Ndio Maana Akiguswa Mkapa Tu Hapa Kilio Oooh Ushahidi Hakuna, Oooh Ushahidi Hakuna, Kumbe Mnatetea Baba Zenu Wadogo! Wezi Wakubwa Wa Mali Za Taifa Mtarudisha Zote,

mtu Sio Raia Wa Tanzania, Unanunuaje Nyumba Ya Serikali Ambayo Imetengwa Kwas Ajili Ya Wafanyakazi Walalahoi? Ukiuliza Nini Oooh Wakuu Wa Majeshi Wa Fisadi Then Na Wewe Ni Fisadi Tu, Una Nafasi Ya Kuweka Hapa Ufisadi Wetu As Much As You Want Kama Unao Na Miimi Nitaweka Kama Kazi Si Unajua Kuwa Nina Fulll Nondo Ya Ufisadi Wenu!

ahsante Mkuu Kajifisadi Kadogo!

Makubwa!
Are You Serious Mkuu?
Sasa wale wanaosema tuko huru ni uhuru gani huu?
Halafu na Zimbabwe tupiganie uhuru wao...Wetu vipi?
 
Ni afadhali kuwa mkweli tu hapa JF huwa hatuna uongo sisi huwa tunasema ukweli,

sasa mkuu come clean jinsi baba zenu wadogo walivyopora Kiwira na mkapa, jinsi walivyokuwa wakuu wake wa majeshi, hatupendi haya ila mnayataka wenyewe, kama tuliwahi kuiba sema mkuu halafu tuendelee kuweka jinsi mlivyoliibia taifa, kwa kutumia jeshi hasa madini,

Fisadi ni fisadi tu, huwa hawana aibu na hujitahidi kusimama mbele ya jamii kama vile eti ni wakweli, you are nothing but fisadi, ndio maana akiguswa mkapa tu hapa kilio oooh ushahidi hakuna, oooh ushahidi hakuna, kumbe mnatetea baba zenu wadogo! wezi wakubwa wa mali za taifa mtarudisha zote,

Mtu sio raia wa Tanzania, unanunuaje nyumba ya serikali ambayo imetengwa kwas ajili ya wafanyakazi walalahoi? Ukiuliza nini oooh wakuu wa majeshi wa fisadi then na wewe ni fisadi tu, una nafasi ya kuweka hapa ufisadi wetu as much as you want kama unao na miimi nitaweka kama kazi si unajua kuwa nina fulll nondo ya ufisadi wenu!

Ahsante Mkuu kajifisadi kadogo!

Eh!!! Hapa sina Comments!!!! Ila nina hamu ya kujua zaidi.
 
Makubwa!
Are You Serious Mkuu?

Mkuu Mushi,

Kumbe ulikuwa hujui kuwa tunao hapa hapa JF, akitajwa mkapa wanalia ushaidi ushahidi ushahidi, tunawambia wawe na heshima hawataki kuskikia sisi tunawastahi lakini hawasikii, wewe Mushi amka wewe hao unadhani ni watu bora ndio hao hao vijifisadi vya kutupwa, halafu wana gutts za kuita watu clean kama mimi mafisadi?

Ndio maana ninamuomba auseme ufisadi wangu kama anao au wa anyenihusu yoyote yule na mimi niseme wa kwake, hapa zaidi huo niliouweka ni kidogo sana, fisadi mkubwa wewe! Mushi amka sasa hao baadhi ya wanaokushanguilia wao wenyewe ni mafisadi wakubwa, wengine baba zao wameondoka ubalozini wameiba malaki ya dola za Credit Cards huko majuu, mpaka leo maofisa wetu hawaruhusiwi kupewa sababu za baba zao, leo wako hapa wakibana pua eti fisadi huyo, wajitokeze sasa tuvine ngoma ya wachawi!

Eti wanasimamia ukweli, ukweli unaujua wewe? Baba lako lilikuwa na roho mbaya inasamekana haijawahi kutokea pale ofisini, kazi uchawi tu halafu eti ooh mimi siamini uchawi nyama wewe!

Tunawaomba wanyamaze hawasikii, sisi tunataka kujadili taifa hapa lakini hawasikii, sasa ninasema tumechoka nao mambo hazarani!
 
....unajua kazi yoyote ya intelligence kuacha ya polisi haitakiwi kuombwa

.....kazi ya intelligence ikianza kutangazwa....itakuwa ngumu kupata watu wenye mapenzi na kazi bali utapata watu wenye msukumo na mshahara na ufahari wa kumzunguka rais.....

...mfumo wa mosad..shirika la ujasusi ISRAEL ambao ndio umekuwa msingi wa mafunzo wa majasusi wengi waazilishi.....wao huanza kuwatambua watoto wanaofaa kwa kazi hiyo...TANGU WAKIWA VIDUDU....na kuanza kuwafuatilia hadi wanakua.......

CIA na MI5 hawafuati hiyo Israel model.

CIA wanatangaza kazi redioni kila dakika 10.

Uingereza nako kazi za usalama ziko nje nje. Tovuti ya MI5 inasema: "Graduates from any degree discipline can apply for our graduate entry scheme, which is also open to those without a degree, but with the experience and skills to contribute directly to our work."

http://www.careers.civil-service.gov.uk/index.asp?txtNavID=117&txtOverRideDocID=376&635132=
 
Unajua mimi baada ya kutoa tongotongo za Tanzania ughaibuni miaka mingi iliopita, ndio nikaona kwamba haya mambo ya sijui eti yule yumo kwenye "system" au ni mtu wa "system" au ni mmoja wao au wale ni baadhi yao tu, nikaona kwamba wenzetu wameendelea sana na wala hawajikwezi.

Mkuu naomba kusema hivi, maisha yangu yote nimekua nikiwaona na kushirkiana sana na wafanyakazi wengi wa serikali, binafsi sijawahi kufanya kazi serikalini, lakini watu wengi niliosoma nao na kukua nao wengi wako kila kona ya sekta ya serikali, usalama ikiwemo pia mimi sioni the big deal ya usalama kila ukitajwa hapa JF as if hao ni alliens, wakati ni wananchi kama sisi na usalama ni kazi tu kama zingine za taifa letu,

Ofisi ya usalama naijua ilipo, sasa sielewi kwa nini inakuwa ishu hapa kwa Gembe kusema kuwa anataka kazi huko? Mbona mtoto wenye ugonjwa alipoletwa hapa niliwapigia simu wanaohusika huko serikalini na msaada ukatolewa mbona hakuna aliyesema kitu, sasa what is a big deal na hili?

Tuache huu ujinga na ushamba ndani yake, usalama kazi yao ni kulinda taifa letu na sisi ndio hasa wananchi wenyewe na tuko hapa kwa kulisaidia taifa letu na hasa wao watu wa usalama, sasa what is the buzz?

Nijuavyo mimi ni kuwa kwenye system yoyote ile duniani huwezi kwenda kuomba hiyo kazi, ila ni wao huwa wanakufuata na hasa toka ukiwa shuleni, lakini kuna exceptionals ambapo unaweza kuomba ukiwa mtu mzima na wakakupa, sasa sioni what is the big deal hapa na hii ishu mpaka maneno mengi yasiyokuwa na msingi ni nini hasa the ishu?
 
kaka CIA ni kati ya mashirika bora kabisa ya kijasusi lakini tatizo la marekani INSIPIRATION ya kwanza ya mtu ku serve jeshini,CIA,FBI ets ni maslahi zaidi kuliko utaifa......UAJIRI HOLELA WA CIA ndio unaowasababishia matatizo ya siri zao kuvuja mara kwa mara[angalia taarifa mbali mbali na kufuatilia majarida]...na pia pamoja na kulipwa mshahara mkubwa imekuwa rahisi kwa mashirika ya russia na mengine kupemyeza watu wao...kwani CIA ina watu wenye asili ya mataifa karibu yote duniani....wachina,waarab,waafrika,koreans ,japanese,ets.....

marekani sio redioni tu...hata barabarani unaweza kukutana na watu wanashawishi vijana kujiunga na jeshi na vyombo vingine......pia naelewa hili linatokana na mahitaji yao makubwa ya majasusi na askari....

hata hapa nyumbani kuna wakati kulikuwa hakuna ajira mpya ...hii ilipelekea graduates wengi kujiunga na jeshi...pamoja na kuwa hawakuwa na moyo zaidi ya kuchochewa zaidi na ukosefu wa ajira [kama vile vile saa wasio na miito wanavyojiunga uwalimu] HII ILIPELEKEA BAADA YA SEKTA BINAFSI KUANZA KUAJIRI ....VIJANA WENGI WALIANZA KUKIMBIA JESHI NA KUAJIRIWA KWENYE SEKTA BINAFSI...HALI ILIYOPELEKEA JESHI NALO KUBORESHA NALO ZAIDI MASLAHI YA ASKARI WATAALAMU..........
 
Mkuu naomba kusema hivi, maisha yangu yote nimekua nikiwaona na kushirkiana sana na wafanyakazi wengi wa serikali, binafsi sijawahi kufanya kazi serikalini, lakini watu wengi niliosoma nao na kukua nao wengi wako kila kona ya sekta ya serikali, usalama ikiwemo pia mimi sioni the big deal ya usalama kila ukitajwa hapa JF as if hao ni alliens, wakati ni wananchi kama sisi na usalama ni kazi tu kama zingine za taifa letu,

Ofisi ya usalama naijua ilipo, sasa sielewi kwa nini inakuwa ishu hapa kwa Gembe kusema kuwa anataka kazi huko? Mbona mtoto wenye ugonjwa alipoletwa hapa niliwapigia simu wanaohusika huko serikalini na msaada ukatolewa mbona hakuna aliyesema kitu, sasa what is a big deal na hili?

Tuache huu ujinga na ushamba ndani yake, usalama kazi yao ni kulinda taifa letu na sisi ndio hasa wananchi wenyewe na tuko hapa kwa kulisaidia taifa letu na hasa wao watu wa usalama, sasa what is the buzz?

Nijuavyo mimi ni kuwa kwenye system yoyote ile duniani huwezi kwenda kuomba hiyo kazi, ila ni wao huwa wanakufuata na hasa toka ukiwa shuleni, lakini kuna exceptionals ambapo unaweza kuomba ukiwa mtu mzima na wakakupa, sasa sioni what is the big deal hapa na hii ishu mpaka maneno mengi yasiyokuwa na msingi ni nini hasa the ishu?

Mkuu,

Nafahamu fika kwamba wewe ni mwandamizi hapa JF na nnakuheshimu kwa hilo.

Lakini hii haimaanishi kwamba unaweza ukawa una conlusive ideas kwa kila hoja. Nimesoma hoja zako nyingi ambazo zinaonekana ni conlusive na zenye ukali, hii ni hatari mkuu tuwe wapole na tusahihishane kwa ustaaarabu na sio kutukanana.

Hoja yangu mimi imetokana na si hoja ya Gembe bali ni zile hoja za wengine ambao wanaonekana kwamba wanafanya hii suala kuwa ni big deal kwamba wakiingia huko basi mambo ni mazuri.

Kabla ya kuandika utangulizi wangu nilizingatia hilo na ikawa kama ulivyoona.

Sasa inategemea alieleta thread ana nia gani.

Napenda sana mwongozo wako kama Field Marshall, lakini uwe na a little bit of respect kwa sisi normal solders.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom