Natafuta kazi ndugu wana JF

kalisto

Member
Jul 29, 2011
33
0
Ndugu wana Jf mimi ni Mwalimu wa Geography na History kwa College, A-level na O'level. Naomba mnisaidie kupata kazi.
Nimendika maombi mashuleni mpaka basi, akuna chochote. I have a Bachellor of Arts with Education.(BA-Ed)
Au kazi yoyote inayoendana sifa hiyo niliyonayo.

Sa kuna haja gan ya kusoma education ka na nyie 2nasota wote kitaa?

Ndugu wana Jf mimi ni Mwalimu wa Geography na History kwa College, A-level na O'level. Naomba mnisaidie kupata kazi.

Nimendika maombi mashuleni mpaka basi, akuna chochote. I have a Bachellor of Arts with Education.(BA-Ed)

Au kazi yoyote inayoendana sifa hiyo niliyonayo.

mkuu ushazungukia kwenye Recruitment Companies..

Tafuta temporary job kwanza kwenye shule hizi ndogo ili upate hela ya bahasha na nauli,then uwe unatafuta taratibu yl maisha yanaenda,ukisema ufanye pupa kutafuta tu kazi permanent utamaliza sorry za viatu na kutembea huku unatafuna mahindi na kunywa maji ya sh.50 ya vifuk0....

si bure,ulipitia hayo maisha.

Ndugu wana Jf mimi ni Mwalimu wa Geography na History kwa College, A-level na O'level. Naomba mnisaidie kupata kazi.
Nimendika maombi mashuleni mpaka basi, akuna chochote. I have a Bachellor of Arts with Education.(BA-Ed)
Au kazi yoyote inayoendana sifa hiyo niliyonayo.

Nakupa ushauri kama ifuatavyo endelea kusoma piga masters then PHD halafu ubaki hukohuko chuo ajira lazima uipate popote duniani.Fikiria mbali zaidi,Achana na biashara ya maji ya hamsini.

Kama una Bachelor, wewe tayari ni mtaji hutakiwi kupanic wala kwenda papara papara. Tulia, jipange vizuri, angalia opportunities ziko kibao. Mashule mbona yako mengi hayana walimu, mbona inshu zipo nyingi sana sema una wiki kama 2 ~ 3 tangu umalize shule ndo kwanza umeingia kwenye soko la ajira.

Acha kuwa na wasiwasi, najua wakati mwingine unalala njaa, lakini usihofu ni mpito huo, wakati mwingine unakosa hela ya vocha au nauli kutokana na background za maisha kuwa tofauti hilo lisikupe stress, na unatamani sana uachane na mambo ya kuingia home saa 12 jioni ka kuku lakini yote hayo yanatokea kwa sababu huenda inakupasa ipitie hao ili uone/ujifunze kitu.

Ushauri wangu: Tafuta pa kuanzia, pawe pana mshahara mdogo we anza nao huku ukijipanga! naimani hiyo bachelor umeipata kwa kujifunza vitu vingi vinavyoweza kukabiliana na hali yeyote ile, so don't worry brother/sister just relax and increase your concentration in your job hunting.

Utakuja kupata kazi na utasahau JF mpaka tutakapokubandika hapa jamvini umefisadi sehemu ndo utarudi (just kidding anyway). Good luck!!

Nashukuru sana wana JF kwa mawazo mazuri sana kwa mawazo na fikra zinazoonesha matumaini kwangu.
Ntaendelea kufight kama mlivyonishauri ndugu zangu. Pia nashukuru lile bumu la mwisho nilinunua buti.

Nashukuru sana wana JF kwa mawazo mazuri sana kwa mawazo na fikra zinazoonesha matumaini kwangu.
Ntaendelea kufight kama mlivyonishauri ndugu zangu. Pia nashukuru lile bumu la mwisho nilinunua buti.

mkuu nakushauri fanya tempo yoyote ile ili upate nafasi ya kuvuta pumzi
nakumbuka miaka 10 iliyopita nilipitia hapo ulipo sasa hivi,nilihaha sana lakini nafikiri nilikosa wa kunipa ushauri
kutulia ndio jambo la muhimu sana,ila fanya kazi yoyote itakayosimama mbele yako kwa sasa hivi
tumia akili zako kwa wingi sana mkuu

Similar Discussions

Back
Top Bottom