Natafuta kazi, naomba connection

Tidah

New Member
Nov 12, 2021
4
1
Hello naitwa Elifrida nina diploma ya maendeleo ya jamii naomba mnisaidie connection ya kazi yoyote nipo Arusha.

Umri wangu miaka 24
 
Weee mchaga wawapi kulialia unatafuta kazi? Zoa takataka mtaani utapata hela! Ndivyo wachaga wanavyoanza kama hawana akili timamu mwisho wa siku wanatoboa
 
Weee mchaga wawapi kulialia unatafuta kazi? Zoa takataka mtaani utapata hela! Ndivyo wachaga wanavyoanza kama hawana akili timamu mwisho wa siku wanatoboa
Kila anaeishi Arusha ni mchaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom