natafuta kazi na experience

Are you really serious or you are just trying to entertain the forum??.
 
I guess he is serious msaidieni jamani,anaelekea kupenda design na ma computer kwa ujumla lol
 
what is the problem mpaka unamwambia kama yupo serious? kama ni CV ipo simple tena nice na inalingana na qualification yake.
 
kwa level uliyonayo utafaa stationery, tatizo ni kwamba watu wengi hupendelea kuweka wasichana!!
 
mkuu upo tayari kupiga kwenye shule za prinmary kupandisha na kushusha watoto kwenye school.
 
Sina uhakika kama yuko serious ama ameamua kufurahisha jukwaa, nimejaribu kupitia hiyo CV inaonekana ana miaka 15, ikiwa na maana bado ni mtoto huyo, katika CV yako umeonyesha kwamba ulifaulu form 4 kama uko serious sema kiwango cha ufaulu wako waweza pata msaada wa kwenda form 5 kama uko tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom