Natafuta kazi katika hospitality industry na utalii

Before one can consider your application, your CV is very important to be clearly known. Please do the needful
 
The needful kwa maana ipi zaid, kama cv inayo

Acha kiburi wewe, we unataka kazi halafu unaleta pozi. waajiri ndio sisi na first impression ninayoitapa kwamba una kiburi hivyo hata ajira iakuwa ngumu kupata tena hospitality industry?
 
Hujanielewa yani nataka kujua zaidi alichomaanisha ili cv yang iwe na uzito zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom