Hujataja jinsia, ME ama KE.Mambo vipi ndugu zangu wa JF mko vema kabisa na mnaendelea na mapambano.
Ombi langu Natafuta kazi yoyote tu mimi ni kijana miaka 27 sina ujuzi wowote, napatikana Mara.
Natumaini ntapata kazi, Asante
Kweli kichwani umetulia sawasawa ndugu? Haujavurugwa?Mambo vipi ndugu zangu wa JF mko vema kabisa na mnaendelea na mapambano.
Ombi langu Natafuta kazi yoyote tu mimi ni kijana miaka 27 sina ujuzi wowote, napatikana Mara.
Natumaini ntapata kazi, Asante 🙏