Natafuta kaz ya procurement and supplies mng....,

moyo wangu

Member
Nov 18, 2011
59
13
Habar zenu wana jf..mimi ni bint nlihitimu masomo yangu last year nina dploma ya procurement natafuta kaz popote tanzania...Asanten
 
Kila la kheri...

Hope CV yako iko kwa agency kama radarrecruitment.com na wengineo..n a pia fuatilia link za kazi zinazo wekwakwenye jukwaha hili la kazi.

Pia jua kuandika .. impressive CV,,first thing potential employers see is your CV ...and compare with there requirement.
For each specific job application try to align job requirement with what you have in your CV.
Next ,make it look good,...good logical flow & presentable

Talk to you later
 
Thanxs..
 
1.umesoma chuo gani
2.ulisoma kuanzia level ipi ya sekondari six au form
3.unapatikana wapi....nchini tanzania
4.ulishafanya field kampuni gani
5.namba yako ya simu........hamna

are you serious hebu weka cv yako ielweke
 
Hakuna haja ya kuweza information zako hapa..kama mtu anataka kukusaidia mpeane email kwenye Private Message (PM).

Hakuna haja ya ku disclose privacy yako hapa unless unataka mwenyewe kufanya hivyo under no pressure ya kazi wala nini.
 
Okey asante kwa ushaur
 
wengne wanakuchora 2.
 
Habar zenu wana jf..mimi ni bint nlihitimu masomo yangu last year nina dploma ya procurement natafuta kaz popote tanzania...Asanten

Unatakiwa uwe na AKILI au MAWAZO ya KUJIAJIRI, hao mawazo yako ni mgando.
Otherwiz, kama unataka ajira ya fasta nenda kwa Komba au Ridh1. ANGALIZO; Uwe makini wasije wakakufanya kama LULU...
 
kuna kampuni ipo sinza mori inaitwa gnld.....nenda pale onana na dada anaitwa wema mwaijage......jumamosiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom