Natafuta ideos au simu nyingine kali kwa 120,000

Ungekuwa na mtu Nairobi wanauza bei rahisi kwani Ideos Huawei(Google)wanauza Ksh 3999 ambayo ni kama Tsh 72,000 au kama upo arusha watafutemadereva wa tours zinazoenda Nrb wanaweza kukuletea,kwa bongo bado wako ndotoni bei iko juu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom