Iwe kwenye hali nzuri, mwenye nayo ncheki 0654867115. Nna 130,000/=
ubungo stand?te te te hapo ndo pekee ninapopajua kwa dar!!Nko Dar, Ubungo
mkuu nilipokuja dar nilipokelewa hapo,nikapelekwa hotelini na kuja kuchukuliwa siku ya kurudi!hivyo sipajua vizuri kiongozi!Ubungo kubwa mkuu..