Natafuta htc ninunue

Je unataka Htc aina gani? mimi niko uk kama unahitaji taja aina ya htc unayotaka na hela ulokua nayo kisha nitainunua na kukutumia kisha nitakwambia ikishafika ukaichukue wapi na ulipie. kwa mfano kuna htc wildfire, htc desire, htc desire hd, htc sensation , htc hd2, htc hd7 itakua vizuri ukitaja hela ulokua nayo kwa dola. Ni pm
 
Htc ni simu brand ya google running on android operating system thou mwanzo zlikkuwa znatumia windows mobile lakini sasa almost zote zna run android os

duh,unaweza kudadavua zaidi hala kwa kiswahili?bado umeniacha,ikiwezekana weka na picha kabisa
 
duh,unaweza kudadavua zaidi hala kwa kiswahili?bado umeniacha,ikiwezekana weka na picha kabisa

Dah kaka ni simu tu kama simu nyingne sema ndo hvyo brand yake inaitwa htc na zpo aina mbalimbali kama htc desire, htc incredible kama ilivyo nokia n73, nokia 6030. Sema hiyo os ya android ni kali kuliko os inayo tumiwa na nokia ambayo inaitwa symbian. Natumai nikisema os unajua namanisha nini japokuwa watu weng wanajua os za computer kama windows 7, windows xp, ubuntu, linux, mac etc sasa na simu pia znatumia os kama symbian, android, ios, windows mobile na os znazotumiwa na simu za kchna nimesahau znaitwaje. Os ndo in determine capability ya simu yako. Natumai umepata mwanga kdogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom