Natafuta hanger za nguo za mtindo huu

KatetiMQ

Senior Member
Sep 25, 2022
180
311
Habari zenu wana JF poleni na majukumu

Naomba kuuliza hivi hanger za kuwekea nguo kama hizi zinapatikana wapi kwa hapa dar es salaam na zinauzwa tsh ngapi kwa anayefahamu.

shopping.jpg
 
Kariakoo upande wa msikiti wa manyema 20 kwa sh 5000. Nilinunua zamani kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom