natafuta dawa ya kutongoza

muone Bishanga, ana dawa za unga na maji, za kupaka na kuoga, ukitumia tu kila ukimuona mwanamke mistari itakuwa inashuka
 
Last edited by a moderator:
Hivi kutongoza bado kupo dunia ya leo? dunia hii ya sasa hakuna kitu rahisi kama mwanamke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom