Spliffcharm
Senior Member
- Jun 21, 2020
- 124
- 344
Habari Ndugu.
Kama heading inavyosema, natafuta binti wa range ya 18 - 25 Yrs old, Tusaidiane kwenye kuuza nguo za Mitumba za Kina Mama.
Binti awe mwaminifu, Ikiwezekana mcha Mungu, awe mchangamfu kwa wateja na awe panctual na muda.
Maduka yako Dar es salaam - Kijichi, Kigamboni Ungindoni na Zakheim Mbagala. Atakua anahama na kupishana kutokana na ratiba.
Kama una binti yuko serious naomba PM kwa details zaidi.
Ahsante sana.